Mnadeal vipi na mwanamke mfujaji?

Pole sana baharia..

Hapo piga chini haraka iwezekanavyo
 
Reactions: BAK
Hafai huyooo atakufilisi piga chini haraka sana labda kama utamu wake si wa kawaida 😜😜

 
Ana mtindio wa ubongo, si mfujaji.
Muangalie hao wadada mnaowaokota barabarani bila kujua historia zao.
 
Mkuu pole sana yani kwa jinsi nilivyokasirika nimeshindwa kusoma ata komenti za watu utafikir ndo mimi kanifanyia ushubwada uo piga chini uyo sio mke kabisa ni mwanamke gani ambae ajui uchungu wa mali za mpenzi wake kwanza ni hatari sana kwa iyo gesi ingekuwa kuna chanzo cha moto apo ungetokea mlipuko mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…