EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
- Thread starter
-
- #121
Kipi Panama au Highway? Au ile.gest bubu?Kibamba. Unanikumbusha kile kigesti karibia na pale mnadani. Siku za mnada j2. Na j5 kinakua bize sana watu wanapishana hata shuka hazibadilishwi.
[emoji56][emoji56][emoji56]Jf siwawezi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1312][emoji1312][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio sisi tuu,ni kama nyie mnavyopenda BBCs.
Toyata ist anayoPicha iko sahihi ila hiyo Toyota key hiyo[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] apo ni Kama Simba day mgeni rasmi awe job ndugai.
Tukio lipo Kibamba chama kulia kama unatokea Mbezi na.kushoto kama unatokea mail1Location
Hio ni spare key mkuu ni ya Grande110Toyata ist anayo
😂😂😂😂Kipi Panama au Highway? Au ile.gest bubu?
Itakuwa ni kama ule wa Dodoma,ila ule wa Dom uko kwenye level ya kimataifa...Huu nao ni mnada wa nyama? Kama ilivyo msalato Dodoma?
J5 na j2Mnada Ni Jumatano au Jumapili?
Nipo Dom najua mnada.wa kigwe, msalato na kintinku niambie upi wa kimataifa?? Wa msalato/mipango?? Kama mgeni na hujui.kitu kaa kimyaItakuwa ni kama ule wa Dodoma,ila ule wa Dom uko kwenye level ya kimataifa...
Msalato uko juu.Nipo Dom najua mnada.wa kigwe, msalato na kintinku niambie upi wa kimataifa?? Wa msalato/mipango?? Kama mgeni na hujui.kitu kaa kimya
Msalato ntakuwepo weekend hiiMsalato uko juu.
Pale Kuna Mambo kibamba hawatakaa wayawazie
Duh. Niko Dar, otherwise tungekutana tule yenye kichuri Ile ambayo Kama uta avoidi kula na chumvi unaweza kula kilo nne Hadi tano. Ukitoka hapo castle lite baridi 22 na konyagi mbili.Msalato ntakuwepo weekend hii
Karibu siku ukija Dom, mi siogopagi wana JFDuh. Niko Dar, otherwise tungekutana tule yenye kichuri Ile ambayo Kama uta avoidi kula na chumvi unaweza kula kilo nne Hadi tano. Ukitoka hapo castle lite baridi 22 na konyagi mbili.
Me niko huku aisee naweza kuwa huko pia weekend hii.Msalato ntakuwepo weekend hii
Njoo mkuu aisee[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Me niko huku aisee naweza kuwa huko pia weekend hii.