EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Mkuu Simba leo tuna jambo letuPicha iko sahihi ila hiyo Toyota key hiyo[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] apo ni Kama Simba day mgeni rasmi awe job ndugai.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]Habari hii ni njema hasa ukiwa umetoka misa ya kwanza
Sasa nashangaa kwanini usisogee mapema ukatupe updatesMkuu Simba leo tuna jambo letu
Mkuu hapa kwenyewe nipo kwa mda mchache tu nina tiketi ya basi maana nimeolewa na Serikali nimepelekwa DodomaSasa nashangaa kwanini usisogee mapema ukatupe updates
Umejireply mwenyewe mkuu kwenye Uzi wakotam sana
hahahahaha kwamba nina ID mbili siyo ?Umejireply mwenyewe mkuu kwenye Uzi wako
Mkuu oda haina haja leo j2 ni hadi saa4 usiku nyama zipo. GuaranteedNi inbox namba yako..niweke oda
Hapa 1500 tu za kitzHotel kubwa supu yaivo utaambiwa 5000 adi 10 [emoji16] mama ntiliye raha sana aisee,,,na kanchembo waweza pewa aise
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umejireply mwenyewe mkuu kwenye Uzi wako
Nataka nipate nyama yenye kadha siyo malaulapuMkuu oda haina haja leo j2 ni hadi saa4 usiku nyama zipo. Guaranteed