Mnada wa hadhara Mali za US embassy Tanzania

Mnada wa hadhara Mali za US embassy Tanzania

Smart911 mylove kumbe huwa kuna hizo issues??? Duhhhhhhhhhhh
Yap love.. Minada ipo... Balozi au ofisi zinaweza kusafisha old things kwa kuviuza... Au kugawa... Ila sijajua dhumuni la balozi hii kufanya hivyo... Wanahama, wanapunguza vitu au inakuwaje?
 
Mnada umeenda vipi jana wadau maana niliona foleni kuingia balaa na unalipia 5,000 kwanza kabla; nikasepa maana nikahisi naweza poteza muda tu na kiingilio changu
 
Back
Top Bottom