Mnada ubalozi wa marekani

Mnada ubalozi wa marekani

Kanye2016

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
3,019
Reaction score
3,193
Kuna mnada utakao fanyika jumamosi pale sinza utaohusishwa na uuzaji wa vitu vya ubalozi wa Marekani vikiwemo magari, furniture na vitu vingine vingi. Mnada utafanywa na Universal Auction Centre waliopo Sinza,lion street. Mnada utaanza saa nne asubuhi, kwa wale wenzangu na mimi wakusubiri vya mnada twendeni tukajichukulie vitu.
 
Attachments

  • 001.jpg
    001.jpg
    167.9 KB · Views: 160
Nltaka nishiriki kwny mnada unanshaurije mkuu?
 
Nltaka nishiriki kwny mnada unanshaurije mkuu?
Huu ushapita ila minada inasaidia kama huna hela ya kutosha kununua vitu vipya, pale unapata vilivyotumika na vikiwa na hali nzuri tena kwa bei ya chini, uzuri unakagua kwanza kabla ya kununua
 
Huu ushapita ila minada inasaidia kama huna hela ya kutosha kununua vitu vipya, pale unapata vilivyotumika na vikiwa na hali nzuri tena kwa bei ya chini, uzuri unakagua kwanza kabla ya kununua

Acha tuwawekee tangazo vizuri

001-jpg.435917
 
Back
Top Bottom