Duu alikuwa mtemi kiasi hicho? Alikuwa na mume kweli???
Duu alikuwa mtemi kiasi hicho? Alikuwa na mume kweli???
Usiogope, kuna magari mengi tu huko barabarani unapishana nayo hayana power sterling ila yanaendeshwa kinamna unaweza ukafikiri malaini
Mkuu usimshushe hadhi yule alikuwa Mmama na bisu (kisu) lake kachomeka kwenye kitenge, halafu hataki mtu aning'inie akisema Mara ya kwanza ya pili anasimamisha gari anateremka anakufuata, sasa hivi atakuwa mtu mzima sana
Hizo ni service tu kidogo na rangi 'mkono mmoja' stata Kiki moja tuu
Mkuu mshana jr upo deep kwenye issue za Magari kuliko kule kwingine ambako huishia kugombana tu watu.
Eti rangi "mkono mmoja"
Mkuu inawezekana ulikuwa unasoma mbagala kizuiani au mbagala rangi tatu ya enzi hizo....
Hii ngoma ya bb cha ng'ombe enzi ya80's.Waliopo kampuni dada Kassam transport wanamind mzuka.
Alikuwa mama wa Kinyakyusa, alianza kwanza na Mbaura za Zambia kabla yankuja kwenye UDADuu alikuwa mtemi kiasi hicho? Alikuwa na mume kweli???
Alikuwa mama wa Kinyakyusa, alianza kwanza na Mbaura za Zambia kabla yankuja kwenye UDA
Zamani hizo kaka, kilikuwa ni kipande cha mamaahaaa....mkuu uko vizuri....mama likuwa akikaa kwenye kiti chake anaenea vilivyo......
Kwa vyovyote alikuwa hali chips mayai
Alikuwa mama wa Kinyakyusa, alianza kwanza na Mbaura za Zambia kabla yankuja kwenye UDA
ahaaa....mkuu uko vizuri....mama likuwa akikaa kwenye kiti chake anaenea vilivyo......
Zamani hizo kaka, kilikuwa ni kipande cha mama
Limefanana na mbunge mmoja alikuwa anasinzia sana bungeni