mshana jrumenikumbusha mbali sana........nakumbuka miaka ya 80s ruti ya mbagala temeke kuna uda moja aina ya leyland ilikuwa inaendeshwa na mdada mmoja alikuwa si mchezo katika kupangua gia......long time duu....
Karsandas Muldas au Chamundas Enterprises. Kutoa mzigo Bandarini kuleta juu kwenye Magodown.
Maarufu kwa jina la Leyland kinundu, spare zake za kuchonga
mshana jrumenikumbusha mbali sana........nakumbuka miaka ya 80s ruti ya mbagala temeke kuna uda moja aina ya leyland ilikuwa inaendeshwa na mdada mmoja alikuwa si mchezo katika kupangua gia......long time duu....
Mkuu usimshushe hadhi yule alikuwa Mmama na bisu (kisu) lake kachomeka kwenye kitenge, halafu hataki mtu aning'inie akisema Mara ya kwanza ya pili anasimamisha gari anateremka anakufuata, sasa hivi atakuwa mtu mzima sana