Mnada Mnada Mnada

nyakahanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Kama wewe uko dar (especially maeneo ya karibu na ubungo) unatangaziwa mnada wa vitu vifuatavyo ambavyo vyote kwa pamoja vimetumika kwa miezi sita tu.

1. Kitanda na Godoro lake (comfy) kwa tsh. 250,000/= tu
2. Sofa la kukalia watu wawili (kitambaa kigumu) kwa Tsh. 160,000/=
3. Subwoofer kwa tsh. 90,000/=
4. Meza ya mbao (kubwa kiasi) na viti vitatu vya plastic kwa bei ya jumla Tsh. 70,000/=
5. TV hitachi inch 21 na stand yake kwa 150,000/=
6. Jiko la gesi mtungi mdogo (oryx) 15kg na vifaa vyake bila gesi tsh. 90,000/=
7. vyombo vya maji kama madiaba makubwa mawili (160ltr each) kwa bei ya jumla Tsh. 60,000/=
8. Vyombo vya kupikia n.k (hapa utakuja tuelewane bei)

NB, vitu vyote hivi nilivinunua vipya kabisa mwaka huu mwezi wa pili na bado viko kwenye hali nzuri na vyenye warrant bado haijaisha. naviuza nihamie Arusha nimepata kazi mpya huko.
Nipm kwa mawasiliano kama utahitaji
 
Peleka kwa wasukuma watanunua kwa bei hiyo lakini sio kwa watu wanao pajua Kariakoo
 
Khaaaaa

Bei zote za dukani.

Una vitukooo
 
mnada gani wakati ushaweka fixed price?
 
huna majirani mkuu? hapa utakatishwa tamaa tu. wamezoea kuuzina gadgets perfume magari na kupangishana nyumba
 
Kwa nini usihame navyo? Vizia malori ya mizigo watakupakia kwa gharama nafuu tu.
 
Mkuu kitanda ni futi 2.5?
 
Badili tangazo andika biashara sio mnada kwa bei hiyo.
Hakuna tofauti na bei ya dukani
 
Badili tangazo andika biashara sio mnada kwa bei hiyo.
Hakuna tofauti na bei ya dukani

Asante kwa ushauri, though your first response was too much from an uncivilized person
 
unapatikana ubungo sehemu gani. mie nataka hayo majaba mawili ila nina pungufu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…