Mnaangalizia wapi JF jamani?


good analysis mkuu UM, ila intro ungai expand kidogo ili iwemo na 'literature review', mf JF ilikotoka, asili ya memba wake etc lol
 
WanaJF, hasa wale wachangiaji mahiri, mnawezaje kubalance kazi, familia na kuchangia JF?

Napenda kuwa mchangiaji mzuri ili nisitumiwe message inayonipassuade nipost kitu humu. Tatizo nililonalo ni kwamba inanichukua muda mrefu kuandika post ili kuhakikisha haina makosa na iko kwenye context. Cha kushangaza kila ninapoandika mchango, naishia kuufuta hivyo kunifanya nisiwe active member. Hata hii message imenichukua wiki kupata nguvu ya kupost hapa, na sijui kama iko kwenye context ya level ya JF. Je nifanye nini ili niwe mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali hapa JF? Je uchangiaji ni kipaji au kuna mbinu za kujifunza ambazo wenzangu mnazitumia?
 
You need confidence with what you think you can do,Nothing more.
 
cha kufanya we tafuta burning issue yoyote then ipost tu kama ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…