Mna-save vipi pesa?

Nunua Hisa La mama…

Nunua hisa zako, kaa tulia mwisho wa mwaka save/uza pesa/hisa zako UTT…rudia mzunguko wako mpaka utakapofanikisha malengo yako!
 
Hii ni bajeti yangu ya siku 2
 
Ishi kulingana na unachoingiza, hapo sitasema uishi vipi kulingana na kipato chako, mambo mengine ni akili Tu na committment.
 
Sasa hiyo nayo ni pesa ya kusave?
Njoo tule bia hapa tabata kijana
 
Umeme wa elfu 5?
 
Garama za kuipata hio laki sita unaweza kuta inazidi laki tano , hivyo ni ngumu sana kuweka akiba hali maisha ya naendelea .
Ni kumuomba Mungu atoe wepesi na mlango wankutokea inapokuja chngamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…