Tumrekodie na ile sauti ya weweeeeeee nafikiri hapo itauza sana, Kigarama usisahau kututafutia scene ya kucheza kwenye filamu Asprin anapenda kucheza kwenye scene za ukabajiKatika hiyo dedikesheni, usisahau kumtaja Babu mpenda maujiko Asprin a.k.a ODM. Vinginevyo haitauza sana.
Kila la kheri.
Katika hiyo dedikesheni, usisahau kumtaja Babu mpenda maujiko Asprin a.k.a ODM. Vinginevyo haitauza sana.
Kila la kheri.
Weeeuuuuweeeee! Ndiyo iwe taito ya hako kamuvi, afu avatar ya ODM ndo inakuwa picha ye mbele. Isipouza, akaogee magadi.Tumrekodie na ile sauti ya weweeeeeee nafikiri hapo itauza sana, Kigarama usisahau kututafutia scene ya kucheza kwenye filamu Asprin anapenda kucheza kwenye scene za ukabaji
Hebu angalia muda wako hapo, Sasa hivi saa ngapi vile? Haya, come this way..........masharti ya ODM kutajwa ni kurejesha huduma ya ukaguzi..
Sasa mbona unacheka afu hujanigongea kale ka-apetaiza kanakoitwa LIKE? Hebu ka-do ze needful bana.Aspirn ur killing me kwa vicheko..hahahaha
uuwwwwiiiii eti hatouza move lol
Soulmate asinisahau na mimi Gaga, mamaa wa mashauzi kama yule muimba taarabKatika hiyo dedikesheni, usisahau kumtaja Babu mpenda maujiko Asprin a.k.a ODM. Vinginevyo haitauza sana.
Kila la kheri.
Katika hiyo dedikesheni, usisahau kumtaja Babu mpenda maujiko Asprin a.k.a ODM. Vinginevyo haitauza sana.
Kila la kheri.
Sasa akiniweka mimi akamsahau soulmate wangu.......... labda kama anatoa singo la taarab....khanga Mokko! vinginevyo albam zitakuwa picha za ukutaniSoulmate asinisahau na mimi Gaga, mamaa wa mashauzi kama yule muimba taarab
umeona eh? Yuu mai taksi draiva!Kumbe eeeeehhhh
Sasa akiniweka mimi akamsahau soulmate wangu.......... labda kama anatoa singo la taarab....khanga Mokko! vinginevyo albam zitakuwa picha za ukutani
umeona eh? Yuu mai taksi draiva!
1. Asprin - Huyu anacheza scene za ukabaji na wiziwaigizaji utawatoa wapi sasa?? au ndo hao hao kina anko Ezekiel!???
Hahahahaha........Yuu bana! Kamata binamu tupa kule, chukua Yuu weka hapa kwa usukani!daaah hivi binamu hajambo.................
waigizaji utawatoa wapi sasa?? au ndo hao hao kina anko Ezekiel!???
Hahahahaha........Yuu bana! Kamata binamu tupa kule, chukua Yuu weka hapa kwa usukani!
Asije akatoa movie ya ile story yangu ileeeeeee, nitaachika, lakini atleast ninae soulmate kanipenda hivohivo1. Asprin - Huyu anacheza scene za ukabaji na wizi
2. Gaga - Huyu anacheza scene za kukwiba soulmate
3. Blaki Womani aka Yuu - Huyu anacheza scene za mamakubwa
Sasa mbona unacheka afu hujanigongea kale ka-apetaiza kanakoitwa LIKE? Hebu ka-do ze needful bana.