dadiiiiiiii nimekuja... ebu tuanze kuisoma plishhhhhhhhhhh.... maana katumia kiswahili ila nahisi kutoelewa kabisaaaa....
hivi huyu kiruka barabara Window7 ni nani yako vile? ntamlapua makofi siku moja mie!
Shusha manati yako kijana.
si ulisemaga kaka yako huyo
Kaa nae mbali huyo asije akakurara bakora mchana huu
hahahahaahaaaa!! kwa hiyo ndo anatumia hiyo nafasi kuwa karibu na wewe? ayayayayaaaaa!!!
ntawagecha wote wawili!
Window7 honey wangu mbona sielewi kila nkijaribu kukuacha moyo unakataa hivi nini kipo kati yetu jamani Excel tuburudishe kwa jisongi hilo japo video tu. miss neddy nlikwambia kaa mguu sawa.Bado niko nae kishingo upande ingawaje kwa sasa kuna fursa nainusanusa kwa ukaribu.. Ntakujuza ikikaa sawa...!
sasa dadiiiiii, huyu mtu atanielewa kweli!!!!niambie mwanangu.. habari za siku nyingi?
hebu ongea na Window7 wakati mi niko najiandaa kutoka.. sawa mwanangu?
Window7 honey wangu mbona sielewi kila nkijaribu kukuacha moyo unakataa hivi nini kipo kati yetu jamani Excel tuburudishe kwa jisongi hilo japo video tu. miss neddy nlikwambia kaa mguu sawa.
Window7 honey wangu mbona sielewi kila nkijaribu kukuacha moyo unakataa hivi nini kipo kati yetu jamani Excel tuburudishe kwa jisongi hilo japo video tu. miss neddy nlikwambia kaa mguu sawa.
Excel siamini yani kweli we ndo unanichepushia mpenzi wangu eh!jamani miss neddy mkanye mumeohaya nimeshusha... ongea na mtoto mzuri nameless girl.. huyu hapa hewani..
sasa dadiiiiii, huyu mtu atanielewa kweli!!!!
Ooops.. Labda chui niliyobugia jana ilinifanya niandike kirumi..
Excel siamini yani kweli we ndo unanichepushia mpenzi wangu eh!jamani miss neddy mkanye mumeo
hebu ongea mamii, akizingua uniambie...! ntamgecha asionekane kabisa kwangu..