MMU Fursa BET

Ndio hivyo tena wanaitana mama na baba Gati. Nina wasiwasi huyu jamaa ndiye alinivunjia ndoa.

J.lee kazaa na Molembe? aisee mbona sielewi?
nameless girl hebu ruka huku mamii! kuna love story inaendelea.. uje kabisa tuisome pamoja!
Ina maana nameless girl nae ni wa huyu jamaa?????[/QUOTE]

kijana inaonekana uko kwenye wanzuki kama sio rubisi..
J.lee kulaleki na lile ta.ko lake yuko na jamaa moja inaitwa Exceptional! sio Molembe!

labda km keshachepuka kwa mara ya saba tena!
 
Last edited by a moderator:
kijana inaonekana uko kwenye wanzuki kama sio rubisi..
J.lee kulaleki na lile ta.ko lake yuko na jamaa moja inaitwa Exceptional! sio Molembe!

labda km keshachepuka kwa mara ya saba tena!

Achana na huyo bongofleva Exceptional. Molembe nae kanichapia.

Napata chui baridi hapa kona. Hata hivyo najitahidi sana kuandika kiswahili safaha..
 
Last edited by a moderator:
Tena kwakunipatia Binamu lete Kama ile ulonipa wakati wa Eid sijui ulijuaje Kama napenda Gold,sasa baada ya Vikuku Mara hii lete ya shingoo....
 
Last edited by a moderator:
Tena kwakunipatia Binamu lete Kama ile ulonipa wakati wa Eid sijui ulijuaje Kama napenda Gold,sasa baada ya Vikuku Mara hii lete ya shingoo....

Asante kwa kuja binamu yangu angalau sasa napumua.

Nimebadili mawazo zawadi yako nitakuletea mwenyewe huyu Mswati Excel sina imani nae.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…