poa, asante....
ahsante mamii.. ila kuna kitu nataka nikuambie.. naomba tuhamie PRIVATE MESSAGE kwa muda kidogo.
Kua nae makini huko piem sio yule uliyemzoea.
kumbe mi ulikua unanidanganya eh!sasa utakiona nakwambia bora niende kwa ExceptionalHa!ha!ha!haa. Itaisha nikipata fursa.
kumbe mi ulikua unanidanganya eh!sasa utakiona nakwambia bora niende kwa Exceptional
Jitahidi best. Ila kua makini na mango g maana huyu mtoto mkali sijui kwa nini!!
Tatizo la J.lee ana michepuko mingi. Anywei ngoja nimfuate private mtongozo.
kumbe mi ulikua unanidanganya eh!sasa utakiona nakwambia bora niende kwa Exceptional
Mhhhhh.. Halafu we mtoto utaniua kwa presha sasa. Kale kamimba ulimpa nani zawadi?
huyo msumbufu sana jichukulie j.lee