MMU Fursa BET

MMU Fursa BET

sikuonag jaman siku moja moja uwe unakuja kuna fursa nying sana kuexchange ideas,vyoda n mengneyo

Mmmh itabidi nikija niwe na fyekeo Window7 nahisi ka wivu anako juu yako nimemwita diha mango g kamind kwel
 
Mmmh itabidi nikija niwe na fyekeo Window7 nahisi ka wivu anako juu yako nimemwita diha mango g kamind kwel
hata usimwogope bhana hana lolote Window7 mwoga ka nini ukimkunjia ngumi 2 mbio.
 
Last edited by a moderator:
jamani nimekuja tu kuwasalimia... sina jipya!!!!!!!!

please pokeeni ua hilo...

T128-2C
 
Back
Top Bottom