..safi sana naona mango g unalishika jukwaa vyema, kabla ya mpambano wenyewe kuanza we endelea kupasha misuli na hawa vijana wakati mabazazi yenyewe yako chumba cha kubadili nguo,na mwalimu wao anawapa mbinu za mchezo, na kwa kawaida uwanjani wanaingia siku inapoanza 0001(12:01 am), wakati unaendelea kufanya nao zoezi ngoja nikutabulishe kwa hawa ndugu wafanyakazi wa uwanja alphonce.NET-ni afisa mauzo yeye hushughurika na uuzaji wa tiketi,kidogo anazo ingawa anachakachua sana, Polisi jamii-huyu kazi yake ni kuzuia vurugu hasa pale itapotokea kuna upendeleo umefanyika, Jipu-huyu ndo hata usimsogelee manake maneno yake yanauma hata kuliko jina lake, tafadhari huyu Jipu mwogope ka kimeta, Prince Akeem-huyu ni mwokota mpira na mara nyingi hujishughurisha na usafi wa uwanja, Window7-anahusika na urushaji wa matangazo ya moja kwa moja studio namba 045, Shamkware-kiongozi wa kikundi cha ngoma na ushangiliaji..