MMU Fursa BET

yani unammention mke wa mwanaume mwenzio kwa ufasaha namna hii?

:A S 13::A S 13::A S 13: ama kweli sikuwa mwenyewe!

guys niko tayari kwenda keko kwa muda! ntang'oa mtu mapu.mbu leo!

hehehehehe...unavojua kuandika jina la DEMBA na vichuna wengine humu waumini halali kabisa unaona sifa eeh//

#kuchapiwanisiriyaNDANI :israel::israel:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
inabidi umtake radhi paroko wangu
af siku nyingine ushabikiage timu zinazishinda tu..sawa?
 
Excel jamaa yangu wewe bwana nasisitiza uumungwana sana....
 
Last edited by a moderator:
Excel jamaa yangu wewe bwana nasisitiza uumungwana sana....

ahsante kabanga! huyu paroko bazazi kaja waziwazi na kumzoa tenchy!

basi wamedanganyana na kidem chake mwallu wanafarijiana...! naona wako na my hubby Angelicious...

niko tayari kumwaga damu.... a man dies once as he was born like that.. siogopi parokia, ngoja wajikusanye tu!
 
Last edited by a moderator:
ww hupendi sawa lakini hawa wanambinu nyingi, nilikuwa nakutahadharisha tu...hubby wangu namjua mwenyewe anapenda vidosho sana na anavimbinu vyake vya ubazazi akikubananisha huchomoki...teh teh teh
Ha ha ha asante Demba n cpendi waume za watu hvyo ucjal
 

tulia basi, andika majina ya watu vizuri.....halafu apo red na bold unataka tukueleweje?

Cc kabanga huyu ndo Muungwana wako

BCC Angelicious for reconsideration of the relationship, tenchy FYIA, Asprin FYI
 
Last edited by a moderator:
hapo nilipobold,hata katika maisha halisi sipendi kuitwa ivo Excel
halafu,sikujua Angelicious ni ''hubby'' wako
 
Last edited by a moderator:
ikiwa vipi niite, maana mimi napenda ugomvi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…