MMU Fursa BET

sikua hata na mimba kaka angu hv niko kiwanjaa najirusha nimelituma linifulie ka bushoke vile mimbaaa mimba kijijini mjini maelewano

Kerebu itakuhusu tu leo.! Rudia tena nikusikie vizuri!

Na hiyo mimba niliishtukia kitaambo. Mimba gani haikui hiyo.? Umekula kwa Asprin ukaone umalizie kwangu eeh. Jipu njoo uchukue fursa yako huku
 
Last edited by a moderator:
na utayamiss sana haya mambo utaishia kuitwa diha tu he!he!heee where is my Jipu.

Ha!ha!ha!ha. Mwanamke weye noma. Hukosi pakuchapuka.
 
Last edited by a moderator:
Karibu mgeni, kuna wakaguzi hapa watakuuliza umri na jinsia bora ujitambulishe kabisa Asprin kam zis way kuna mgeni hapa anahitaji ukaguzi
Wageni wenye mikwala kama huyo wajanja tunavuta pumzi kwanza tuangalie mienendo yao.....Stuka!!!
 
Last edited by a moderator:

Kaizer husafishiki kwa kweli itabidi baba paroko akuondoe katika timu ya wachunga kondoo wa bwana
 
Last edited by a moderator:
Angelicious nakuita unagoma, si ndiyo?

hivi we mwanamke ani kakupa kiburi mpaka unanisonya mimi?

i have never been bored like today..!

umekaa nusu saa nzima kimya ukimaanisha kuwa kuna mtu anakupa kiburi zaidi, si ndiyo angel?

nikutakie usiku mwema, na kama kuna mnyama yeyote aliekupa hifadhi, ataniambia ukweli asubuhi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…