MMU Fursa BET

jamani isiwe tabu tena hayawahusu eeh!haya makubaliano yetu mi na bebi Window7 huyo mango g alipendwa akaringa mie nkachkua fursa tatizo liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!!! honey imebidi ianze kucheka mwenyewe! kumbe kuna watu wanaumbuana tena? Window7 is eating mango g and J.lee together? dah... nawasubiri nione!!! hujambo lakini mpenzi wangu wa moyo?
bebi Window7 ananipenda tena sana na mi nalijua hilo hayo ni mapito tu palipo na mafanikio hapakosi dosari.
 
Last edited by a moderator:
Usiombe ufumaniwe unakua mdogo kama pirton. YAMENIKUTA.. My wife J.lee hebu njoo pm tuweke mambo sawa kabla hali haijachafuka
 
Last edited by a moderator:
Usiombe ufumaniwe unakua mdogo kama pirton. YAMENIKUTA.. My wife J.lee hebu njoo pm tuweke mambo sawa kabla hali haijachafuka
bebi naomba useme hapa hapa la sivyo hakieleweki remember am carrying yo beb boy ooh!
 
Last edited by a moderator:
bebi naomba useme hapa hapa la sivyo hakieleweki remember am carrying yo beb boy ooh!

Beby hakuna mwingine zaidi yako mtoto wakitanga mambo iko kwako..! Njoo nikkumbatie unipe joto halis na hii hali ya hewa bebii achana na mango g alinikana mbele za watu. Akanifanya nishindwe kufanya kazi zangu vizur. Now niko na ww kila kitu kiko vizuri.
 
Last edited by a moderator:
jamani isiwe tabu tena hayawahusu eeh!haya makubaliano yetu mi na bebi Window7 huyo mango g alipendwa akaringa mie nkachkua fursa tatizo liko wapi?

Umechukua fursa msimu muafaka my baby's mama.
 
Last edited by a moderator:
aaam!bebi mi naomba next weekend tukapumzike cape town nimemic sana kwenda since our honey moon!!! please bebi say yes 2 yo bebi!

Yeeeeeees bebii.
 
jaman j.lee ntakuua ww na windo wako! yan hamna hata haya? mi kukaakimya kidogo2 yamekua haya? mmh kwl ww j.lee una dhiki! sasa nmekujua

Jamani ulikua wapi muda wote? Hebu njoo piemu chap ila J.lee naomba umuache kabisaaa. Sawa eeh under twent
 
Last edited by a moderator:
Usiombe ufumaniwe unakua mdogo kama pirton. YAMENIKUTA.. My wife J.lee hebu njoo pm tuweke mambo sawa kabla hali haijachafuka

hahahaaa!! kama kawaida MankaM keshasababisha!

na uliwe weee mpaka asubuhi!

ndo maana nawapenda wachaga! hawana mzaha kabisa! yereuwiiii oriented!
 
Last edited by a moderator:
Jamani ulikua wapi muda wote? Hebu njoo piemu chap ila J.lee naomba umuache kabisaaa. Sawa eeh under twent

qudadadeeeki! diha amerudi!? hebu mfungulie mlango upya!
J.lee lazima akae hapa! kitoto kina damu ya kenge! baridiii!
 
Last edited by a moderator:

Atii??
 
Last edited by a moderator:

Shemeji njoo piemu nikupe notes za huu mkasa utazipitia ukiwa na time. Halafu tumia katafsida kidogo nitakosa kote sasa. Ebo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…