Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 499
ha!ha!haaa!utaelewa 2 shostito ukiona damu ujue kashachinjwa oh!nakupenda cjui nini kelele nyiingi kiko wap umechwa solemba valentine day cheko lako hilooo!
Wow!! Thanks alot my love, I love you too babe mwaaaaa!!!!!
eh!jiran yangu kukukaribisha chakula ndo upige na picha kuleta huku mwee jamaan.
he!he!heee!sie ye2 kimya kimya watu wazima sie ha2na mahaba ya 4m 2 wifi wee nyie bado wadogoooKwani shida nini wifi yangu??? Mahaba nitoe roho hayo nawe mwambie shem afanye hivyo.... kupendwa ndo huku
mwaaa!!! mwaa!! mwaaa!!!! xoxoxoxoxox0xoxooo!!!
thanks a lot sweetheart..!
you love me for real!
bado mama msaada kwenye 2ta kwa jipu jaman.
muite nae atakuitikia atakuonyesha mahaba mazito usiyoyajua ha!ha!haayuko wapi mbona cmuoni
he!he!heee!sie ye2 kimya kimya watu wazima sie ha2na mahaba ya 4m 2 wifi wee nyie bado wadogooo
aaam!bebi mi naomba next weekend tukapumzike cape town nimemic sana kwenda since our honey moon!!! please bebi say yes 2 yo bebi!Baeleze hao. Sie watu wazima atii. Mambo yetu chumbanii. Wife unanikoshaje wangu. Hebu sema nini nikufanyie waone wivu hawa vijana wadogo.
muite nae atakuitikia atakuonyesha mahaba mazito usiyoyajua ha!ha!haa
mdomo huu na mimi lol ngoja ninyamaze mwe!
shogangu niwie radhi wanawake 2ko weng kuliko wanaume ntafanyaje unadhani na we ukisusa wenzio twala shoga we kudenguua wiki 3 nzima nkaona c haba nimtoe ukiwani Window7 nisamehe 2 jaman n we bebi uje utoe maelezo vya kuniaibisha mbele ya majiran cpend cpend kabisaa nasema ntasitisha huduma zote.jaman j.lee ntakuua ww na windo wako! yan hamna hata haya? mi kukaakimya kidogo2 yamekua haya? mmh kwl ww j.lee una dhiki! sasa nmekujua
jaman j.lee ntakuua ww na windo wako! yan hamna hata haya? mi kukaakimya kidogo2 yamekua haya? mmh kwl ww j.lee una dhiki! sasa nmekujua