ha!ha!haaaa! lakini c umeenjoy jirani uthidhuge jaman.
Hahaha! Mkeo ana matatizo mengi sana!
Especially finacial weaknesses!
Nadhani jana alisaidiwa laki mbili hivi na mama watoto wangu ang...
Utasaidiwa sana matunzo masikini mkubwa ww!
nakuja bebi namalizia kukaanga mahanjumati ule unenepe!utaoga maji ya moto au ya baridi?na niyaweke hiriki kidogo ama mdalasini chagua 2 bebi ucjal panda mgongoni ukaoge!ha!ha!ha!haaaa.
nimeamka salama jirani bize na usafi usafi kidogo j.mosi leo mara bebi wangu Window7 atake massage nkabanwa na shughuli haya mmeamkaje na Angelicious huko?
Nimeenjoy wapi!
Nimelipiga knock out!
Busu gani hilo linakuja kama radi!
Yani buuuum! Papapaaaaaaa paaaarrrr! We mchawi kweli!
Eeenh!
Umemchum huyu??? Aaaaarrgh
Ooohh mama. Mambo ya Tanga
hayoo. Leo naona kamvua kamegoma kunyesha. Niwekee yauvuguvugu
nilainishe misuli
haya bebi panda mgongoni.
sori bebi imebid 2 huyu c jirani 2 mbona moto 2nampaga jaman!sio vzuri.
ha!ha!haaaa!sema asante 2 loh.
Unacheka nin sasa!
Mwanamke unacheka kama sauti ya mwangwi?
Eeenh!
Kutoka sumbawanga raha eenh!
Sasa huyo ana mgongo au ana kifusi cha zege!!
Angalia usije ukajikwaa bana!
Mgongo gani una matuta kama ya zebra crossing?
My love kuna nini kinaendelea hapa? Halafu jana umenichunia nimenuna
Unacheka nin sasa!
Mwanamke unacheka kama sauti ya mwangwi?
Eeenh!
Kutoka sumbawanga raha eenh!
My love kuna nini kinaendelea hapa? Halafu jana umenichunia nimenuna
Bebi.. Being mad is the part of showing true love....
You look more and more extreme romantic when you love me that way!
Come baby....! Let us speak our own language that others cant understand...
I love you my angel!