jamani mambo gani sasa haya ya kuchezeana hisia? mtoto mrembo kabisa mango g kampenda bazazi Jipu! ona sasa kamtenda!!! Window7 nae naona antivirus hana kabisa! mi naona nitumie ubuntu bana!
J.lee umeona uchumba ulivyovunjikia stesheni? yani hata safari haijaanza jamani!
kikongwe Asprin njoo uteme nasaha zako! afu uache uswahili hapaa.. hatutaki maneno ya kenye kanga!!!
Hahaa. Acha kumkuza under 20 wangu.
Sikucheki wewe my ubavu. Namcheka yeye ndo ana wife kizee
huyu mango g Ndio nani ....?
mi nlikua nampenda@asprin sa baada ya kuckia ni babu ndo nmechoka diha!
kizee mwenyewe
Diha!! siyo babu bana au hujui kuwa uzee mwisho chalinze? mjini wote ni baby, halafu wababu wana hekima hao........
basi usikasirike under 20.....but u look 40!
same 2u hunie diha...!
Kijana kaa mbali na wake za watu.
usimind im just joking...