mi sipendi pm .... napenda uwaziUmesimama kinoma.....basi sawa , sina mengi maana ulisha kataa PM. Nimefata muongozo wako.
Ila kanuni ya MMU ibara ya 13 kipengele A, kinasema mtu anaweza kuMP mtu endapo tu atakua amevutiwa kutokana na maneno mazuri au sexy picture iliyoko kwene Avatar ya mlengwa
mi sipendi pm .... napenda uwazi
besti nilitaka kukujibia hili swali, kumbe ningeingia chaka, lol!sijawai kushika mimba .so sijawai kutoa.kuhusu kuzuia mimba mbona ni simple tu nahesabu tarehe...tendo la ndoa nafanya nikiwa nimejipanga.hata nikibeba mimba ujue siku hiyo nimepangilia
Smile umeniangusha sana kwa kukwepa maswali mepesi haya ya Nyani Ngabu, sidhani kama hii lugha ni tatizo kwako ila ndio maswali standard duniani kote huwa katika mtiririko huu.What is your idea of nirvana and what is your form of escapism, if you have any?
What are your likes and dislikes? These could be in anything...
What are your must haves and can't stands? Also could be in anything...
Are you 4-20 friendly?
What are you attracted to in a man?
Smile umeniangusha sana kwa kukwepa maswali mepesi haya ya Nyani Ngabu, sidhani kama hii lugha ni tatizo kwako ila ndio maswali standard duniani kote huwa katika mtiririko huu.
hilo la kwanza limenishinda kusema kweli,si unajua nimesoma shule ya kataSmile umeniangusha sana kwa kukwepa maswali mepesi haya ya Nyani Ngabu, sidhani kama hii lugha ni tatizo kwako ila ndio maswali standard duniani kote huwa katika mtiririko huu.
ha haaaa, lol!ahahaaaa nilishafanya ila nimeacha siku nyingi ..si unajua ukiacha inafunga?
mi sipendi pm .... napenda uwazi
ahaaaa nitaolewa muda ukifika usijali.nimefanya mambo mengi mazuri zaidi ya kuolewa mkuuSmile, uaonekana kuwa intelligent na nashangaa hujaolewa! Vijana siku hizi sio waowaji, ningekuwa single ningekuweka miongoni mwao ambao wangefaa kuolewa nami.
Hata hivyo, inaweekana tatizo lako ni ujanja-ujanja.
ahaaaa nitaolewa muda ukifika usijali.nimefanya mambo mengi mazuri zaidi ya kuolewa mkuu
Nilibaki kudanganya nimedondoka bafuni siwezi irudia tena
Je tarehe hii ina maana yoyote kwako.ndio ni mimi .hapo ni tar 13 .3 2013