julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
Mhhhh we una yako tu.... Mie binafsi napenda majukwaa yote....
Walio jisajili jukwaa la wakubwa wengi wamezamia huko huko. MMU wanakuja kwa ku beep tu. Jukwaa la wakubwa ukichungulia tu, unakuwa kama mtu aliye anza kutumia madawa ya kulevya.
MMU vs JUKWAA LA WAKUBWA!
wote wanazungumzia mahusiano na mapenzi..
nani mkali jamani? wapi uko huru kuliko kwinginee?
kumbe!!!!!!!! sikujua kama nilikimbia!We mwenyewe ulikimbia humu, umerudi kimya 2
Bisha
Walio jisajili
jukwaa la wakubwa wengi wamezamia huko huko. MMU wanakuja kwa ku beep
tu. Jukwaa la wakubwa ukichungulia tu, unakuwa kama mtu aliye anza
kutumia madawa ya kulevya.
Kwa wakubwa kule kiboko
Nina mpango wa kuchonga kigoda nikae huko huko
jamani Jukwaa la wakubwa linapatikana wapi? Nijuzeni tafadhali
aaaaaaaaaaaha aaahaaaaa!Kuna member anaitwa funza dume,je umeshawahi kumuona jukwaa lolote lile zaidi ya lile kule chini!!
karibu sana jukwaa la wakubwa kudadeki!!
kule mambo ni mpwito mpwito!
kuna mwenzio mmoja alikuja na kukimbia! si alidhani watu wanaongea simple language kama MMU?
there, people dare talk, openly!
Hahahaha
Nipo huko long time
Ila siingiagi mara kwa mara
Saaa nimeamua niwe nashinda huko na kuposti papuchi na madushelele ya mtandaoni
Kuna member anaitwa funza dume,je umeshawahi kumuona jukwaa lolote lile zaidi ya lile kule chini!!