wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,574
Wazazi walikua wanapeana mambo na kitanda chenyewe Ni double decker,watoto wao wawili Wanalala kwa chini hapo.Siku 1 dogo anakumuuliza mama yake hivi unasoma darasa la ngapi?
Mama ake akamuuliza kwanini?Dogo akajibu hua nasikia kila Mara unamwambia baba Sasa unaingia la pili.
Yaani bao la pili.
Mama ake akamuuliza kwanini?Dogo akajibu hua nasikia kila Mara unamwambia baba Sasa unaingia la pili.
Yaani bao la pili.