TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

Hii taarifa sijaielewa mwenye uelewe atoe ufafanuzi hasa watu wa sumbawanga wenye kuwajua vizuri..maana naona mitandao mingi inaandika salum humud summary na picha yake inaonekana.

Huyu salum sumry ni mtoto wa yule mzee sumry mmiliki wa mabasi toka kampuni inaanza. Maana nakumbuka mzee sumry alikuwa na watoto I think watatu mkubwa akiwa salum...Je anayezungumzwa na Ni salum au yule baba yake?
 
Naogopa sana sekunde za mwisho mwisho kuaga dunia. Sijui kuna nini huko?

RIP mkuu.
 
I did not know that when we last met in December, had a chat on a number of issues, kumbe tulikuwa tunaagana. RIP HUMUD
 
Ila Sumry aliwavumilia sana watanzania aliowaajiri kwenye mabasi. Yani walikuwa wanamuibia sana. Acheni tu Mo awe mkali mmatumbi ukimchekea chekea mmatumbi akikuzoea anakurukia hadi mabegani.

Hivi biashara ya basi si ni unaangalia kitabu cha tiketi tuuu au halafu unafunga hesabu
 
Back
Top Bottom