Wewe naona umerogewa Alshabaab, uoga wenu kwa hawa jamaa inaonekana wakatishia kuanza shughuli Tanzania, mtahangaika sana kwa uoga hata kabla hawajaja.
Hivi una ufahamu Kenya sasa mwenyeji wa dunia, kuna wajumbe tokea nchi 170 wanaokongomana Nairobi kwa kikao kikubwa sana.
Naona itawachukua muda mrefu kuelewa Ukenya maana yake nini, watu wajasiri wasiogopa wala kubabaishwa na chochote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.