Mmoja kati hawa akipata madaraka ya Makamu wa Rais nchi itagawanyika

Wakifanya kosa wakaleta jina jipya na wasilete mwana ccm asilia na anaekubalika na Chama ccm mtampa Kaz kuongoza nchi Samia , chondechonde ,leten mtu anaekubalika ndani ya Chama na viongoz wengi wakiwemo wanachama apa nchi itakuwa kama mkeka.

Nao hao amboa mnasema hawakubaliki si CCM asili ndio ambao wameonesha ni viongozi bora tena kwa muda mfupi tu. Mkiwatoa kwenye uongozi kwa fitina ambayo ndio sifa ya wanao jiita CCM asili wawe na plan B.

Wala wasiogope JPM kesha warahisishia kwa kuwafungua macho Watanzania. Jeuri ya Viongozi Mafisadi wa CCM ni vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama ambavyo JPM amevigeuza mitazamo yake sana tu.

Unless kiongozi anafanya mambo ambayo ni mapenzi ya walio wengi hana nafasi tena Tanzania. Hivyo mafisadi na vibaraka wakiwaletea za kuleta ndani ya CCM tafutene kuwa tumikia Watanzania wenzenu nje ya CCM na mtaungwa mkono na walio wengi kwa uwazi na hata kwa kificho.
 
Rais akishaapishwa ni miaka kumi lazma amalize. Hivyo mama Samia lazma alambe 10 lake hakuna cha kusema sijui anamalizia 5 ya Magufuli wala nini.
Na utaratibu uliopo akitoka Rais muislam makamu awe mkristo au Rais mkristo makamu awe muislam. Hivyo mpaka sasa hakuna cha January wala Kasimu wala Bashiru hao wote sifa hawana tena kama huyo Kasimu ndo kabisaa tangu awe waziri mkuu sifa ya kuja kuwa Rais ndo kashapoteza asahau hilo. Hivyo makamu wa Rais ni sura ngeni kabisa hao wote hapo hayupo hata mmoja..

Note:
Kuna tetesi kitilya mkumbo hatunae.
Tusubiri kuzika kwanza tutaona/ kusikia mengi
 
Rais akishaapishwa ni miaka kumi lazma amalize. Hivyo mama samia lazma alambe 10 lake hakuna cha kusema sijui anamalizia 5 ya magu wala nini.
Na utaratibu uliopo akitoka Rais muislam makamu awe mkristo au Rais mkristo makamu awe muislam.hivyo mpaka sasa hakuna cha january wala kasimu wala bashiru hao wote sifa hawana.tena kama huyo kasimu ndo kabisaa tangu awe waziri mkuu sifa ya kuja kuwa Rais ndo kashapoteza asahau hilo. Hivyo makamu wa Rais ni sura geni kabisa hao wote hapo hayupo hata mmoja..

Note:
Kuna tetesi kitilya mkumbo hatunae.
Tusubiri kuzika kwanza tutaona/ kusikia mengi

Hakuna shaka hata wakianguka na kufa watu 70,000 kwa siku moja. Taifa la Tanzania Mungu atalisimamisha kwani palitokea kiongizi wake Mkuu aliye amua kumtegemea na kumkiri Mungu wa Mbinguni hadharani.
 
Ok pia kuna mtanange unaendelea huko kati ya Vero na Kigogo..sijajua hadi saivi wametoka vipi.

Hadi saivi Vero anaendesha usukani...sijajua ni kwa nini Kigogo hataki kumlipua
 
Kura Ya Umakamu Wa Rais naipeleka Kea Mkuu wa Mkoa Geita. Ni mcha Mungu na Mwanamabadiliko ya Kweli.
 
Nao hao amboa mnasema hawakubaliki si CCM asili ndio ambao wameonesha ni viongozi bora tena kwa muda mfupi tu. Mkiwatoa kwenye uongozi kwa fitina ambayo ndio sifa ya wanao jiita CCM asili wawe na plan B.

Wala wasiogope JPM kesha warahisishia kwa kuwafungua macho Watanzania. Jeuri ya Viongozi Mafisadi wa CCM ni vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama ambavyo JPM amevigeuza mitazamo yake sana tu.

Unless kiongozi anafanya mambo ambayo ni mapenzi ya walio wengi hana nafasi tena Tanzania. Hivyo mafisadi na vibaraka wakiwaletea za kuleta ndani ya CCM tafutene kuwa tumikia Watanzania wenzenu nje ya CCM na mtaungwa mkono na walio wengi kwa uwazi na hata kwa kificho.
Shida nikumleta mtu ambae hajulikan ndan ya Chama hii itavuruga sana
 
Toka lini CHADEMA mkawa washauri wa CCM? Katiba yenu wapi inasema kazi yenu mojawapo ni kushauri CCM pambaneni wenyewe kwenu kunawaka moto
 
Wewe kweli umelewa kimpumu peleka upambe wako wa Lowasa nyumbani kwake na sio kutuletea hapa,tumeanza kumsikia Lowasa tukiwa chekechea na sasa tuna ujukuu,mwache ajipumzikie bana kutuletea mababu wa miaka 70 kwa wakti huu ni big NO
Unajidhalilisha mkuu. Umesoma kweli??
 
Hapa ni Bashiru au Kabudi au Ndugai hapo ndio tutaelewana, tunataka watu powerful, nani anayetaka kuyumbishwa sasa, hata kama ni mimi ningefanya hivyo.
Kweli kabisa??! Kweli jamani Ndugai ni Powerful!!!!....Ee Mungu muongoze Rais yule achague mtu sahihi.....Hii mirusi hii itaenda kumpoteza.
 
Back
Top Bottom