Aisee,bishanga hatii neno hapa asijeambiwa ni antimarriage,kumbe he is just being realistic na ndomana wadhungu wanasema...you chase a woman until SHE catches you,walikuwa na maana.
Duuu hiii kali nimecheka mpaka basi .....
Haya mambo huwa yanatokea sana Smile, ila si kwa kila ndoa. Tupo wenye ndoa zetu ambao tunakula bata tu kila siku, hakuna kukonda wala kujuta, ni kuenjoy maisha!
duuu hiii kali nimecheka mpaka basi .....
Haya mambo huwa yanatokea sana smile, ila si kwa kila ndoa. Tupo wenye ndoa zetu ambao tunakula bata tu kila siku, hakuna kukonda wala kujuta, ni kuenjoy maisha!
Smile wewe hata neti huenda ni nafuu .......................yaani umenikosha kabisa...........wanaumme ndani ya ndoa huachwa majeruhi lakin mdada yeye ndiye hupendeza....................................what a choice?