Mmmmmm!! Kaka hanielewi baada ya kuvunja ahadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmmmmm!! Kaka hanielewi baada ya kuvunja ahadi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pretty, Jul 22, 2010.

 1. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Hello wana JF
  Mwenzenu simuelewi my bro, kipindi nilivyotaka kuolewa alipinga sana kwa kigezo bado nasoma japokuwa mie sikuona tatizo lolote kwa elimu ninayosoma haipo ngumu sana hadi nishindwe kuolewa kwa sababu ya masomo............kaka alipinga sana na kutaka nije kuolewa baada ya kumaliza masomo yangu, lakini wazazi hawakuwa na pingamizi maana waliona nimeshajikomalia zangu hivyo naweza kumudu mikiki ya ndoa na masomo.

  .......Baada ya muda alivyoona nimekomalia kuingia ndoani akaamua kukubali lakini kwa masharti........aliniambia kwamba nisipate ujauzito hadi nimalize masomo, nami nikamuhakikishia kwamba nitajitahidi nisishike mimba hadi nimalize chuo,,, lakini sasa Mungu alivyo wa ajabu baada ya miezi 2 ya ndoa mie nikanasa mimba.........hivi sasa nipo likizo nimerudi home, hivyo ikabidi nikamjulie hali kaka yangu mpendwa nyumbani kwake,lakini cha ajabu baada ya kuona hali niliyokuwa nayo ya ujauzito kaka kakasirika hakuwa na furaha. Nakwambia nimesemwa mie na kaka hadi basi..........mbaya zaidi kaamua kunichunia sababu nimevunja promise.Hajui sasa mie sio mtoto tena nina ndoa yangu hivyo nimekuwa mtu mzima.

  ..........Kwanza ni kaka yangu pekee ninampenda na yeye alikuwa ananipenda na kuniongoza vizuri haswa kielimu.
  Mwenzenu sijui nifanyeje?.........I mean nitumie mbinu gani ili nielewane na kaka yangu maana nampenda sana kaka yangu sipendi kuona anakasirika kwa ajili yangu.
   
 2. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pole sana pretty, just give ur brother some time atakuzoea tu katika hali hiyo muhimu muonyeshe you can handle both of them, yani ujauzito wako hautaaffect performance yako kielimu.
  inakua ngumu kwake kukubali kutokana na kwamba bado ana fikra kwamba u are still his young baby sister anapenda bado kukuongoza kwenye mafanikio, huyo kaka hana nia mbaya kabisa nawe its just he love her sister sana! u are lucky to have a brother who care pretty!
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Sasa ili asiendelee kumuudhi kaka yake, mi namshauri afanye abortion.:focus:
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  pretty...............kaka ni mwanamme na anawajua wanaume wenziwe kuwa kumfuja mwanamke ni rahisi sana. wewe kushindwa kumaliza shule kwa sababu ya familia ni rahisi mno na inataka juhudi za ziada kwako ili uweze kupata grades kama ulizokuwa ukipata kabla hujawa na majukumu ya ndoa hasa utakapokuwa na mtoto.

  Kaka anakuona 'huna deal' kwa sababu umeweka ndoa na watoto mbele ya elimu......atakuelewa iwapo utamthibitishia kuwa elimu yako iko pale pale kwenye orodha ya vitu muhimu kwako na grades zako hazitaathiriwa na ndoa au mtoto.

  i hope that is possible
   
 5. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tell your bro to mind his own business. Ndo wanaovunja ndoa za watu hao. Anakuwa kama wifi bana aaaargh.
   
 6. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  bora unajua uko offtopic, sasa abortion hapa inakujaje? kwani kakuambia hawezi kulea? ebu mshauri basi afanyeje kakake arudishe attention?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Ushauri wangu ni kuwa, maadam ameamua kuolewa na ameshaolewa. Awe na mimba au asiwe nayo: amsikilize mumewe na wala si kakake, dadake, mjombake, shangaziye, bibie, babuye, mamake, babake!

  Have I made my self clear??
   
 8. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yes sir!
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Mbona hujanigongea kale ka appetizer kangu?
   
 10. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Bro wako ana Wivu tu unamsumbua! Kimsingi sio kama alikuwa hataki uolewe bali Hakutaka Umegwe yaani yeye suala la kumegwa Linamuumiza sana ndiyo maana akaweka Sharti la Kwamba Usipate Mimba akiamini kwamba jamaa huenda Hamegi. Sasa Umepata Mimba Bro ana Uhakika jamaa huwa anamega sasa bro roho inamuuma sana. Ni kawaida Sister unajua sisi wanaume huwa tunachelewa sana kukua (Siyo Kiumri) Kwa hiyo Utoto Unamsumbua ila akikua ataacha tu
   
 11. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimekakosa jamani!
  eti ule ujumbe wa dasophy unakuhusu?
   
 12. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Duh! si mchezo hii comment kiboko.
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Ujumbe gani? Infidelizesheni au? Kama una contacts zake please do the needful. Wife pale home yuko safarini kwenye mwezi....:focus:
   
 14. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  si anakutaka uende kwake kila saa!
  si fear hivyo ndo kumsema hapa!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Sorry, leo sijavaa mawani yangu........... ulimaanisha fair au? Kama ni hivyo ulitaka aendelee kufanya siri siyo? So infidelity inakuwa fair ikifanyika kwa siri? Sasa nimekuelewa vema!
   
 16. T

  Tall JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  a abort
  kwa kutumia asprin eeeeeh?......USHINDWE!!!!!!!!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  Sasa afanyeje ilhali yeye anampenda kaka, na kaka hapendi mimba?
   
 18. T

  Tall JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Mhakikishie kaka yako kuwa utazidisha bidii ya masomo na utafaulu sana.
  2.Mweleze mumeo kuwa masomo kwako ni muhimu sana sana hivyo unategemea support kubwa toka kwake.
  3. Nawe pia fanya juu chini usome kwa juhududi zote,ikiwezekana hata ndimu tembea nayo kwenye bag ili usipoteze muda wa kwenda kuitafuta gengeni ili uzuie kichefuchefu(just in case).Perfomance yako ikishakuwa nzuri, kamwonyeshe kaka .......utaona atakavyochekelea.
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Bro ako anakuhurumia sana maisha ya Ndoa si lele mama.
  Yawezekana hao mashemeji unao wachagua anawajua in and out wakujiexpress anakuepusha na dhoruba.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,019
  Likes Received: 23,745
  Trophy Points: 280
  And why on earth should she tell her brother while she is answerable to her husband?

  Mi hata siwaelewi. Huyo kaka anamsaidia kuukabili mtarimbo wa mumewe? UKISHAAMUA KUOLEWA PRETTY WANGU, unaachana na Baba na mama yako na vinavyohusiana nao unaelekeza nguvu, juhudi, maarifa, akili, muda na mwili wako (hasa uke wako) kwa MUMEO NA FAMILIA YAKO. Period!
   
Loading...