Mmmmmh..!

Daffi Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
3,824
Reaction score
909
Huyu ndo mlinzi wa Rais Sava Kiir!!Mchukulie ndo angekuwa wa Kikwete,sijui kama tabasamu lingekuwepo
 
Attachments

  • 126495-south-sudan-7-of-10.jpg
    70.8 KB · Views: 869
Hapa mkweere asingekenuakenua hata kidogo!
Unajua mkweere alitutapeli watz kwa staili ya kuchekacheka tukampa nchi tukiamini kuwa mambo shwari, dah mambo yanavyokwenda tumeligundua hilo!!
 
Jamani mimi ni mweusi lakini jamaa ni MWEUSIIIIIIIIII...........kaaa
 
nadhani ni kati ya watu wachache weusi sana duniani......anaweza kuwa mshindi katika GUINESS world book of record..kwa kuwa mweusi
 
nadhani ni kati ya watu wachache weusi sana duniani......anaweza kuwa mshindi katika GUINESS world book of record..kwa kuwa mweusi
Ahahahahaah!! Jamaa anatisha kwa kweli...
 
Ahahahahaah!! Jamaa anatisha kwa kweli...

Siku Rais Kiir atakapotembela Tanzania halafu awe ameambatana na huyo mlinzi wake, masoja wakwetu wanaweza kumkimbia! Itababidi huyo jamaa awe anakaa kwenye sanduku maalu( cage) kama tiga!
 
Kwa Kikwete,,,,jamaa kama huyu asingepata kabisaaaa chance kama hiyo! Ila watu kama hawa ni wazuri sana sababu wanakuwa na a very strong commitment na kazi yao!
 
Sijui tz kama kuna watu weusi kama hawa!ebu check hizo lips zilivyo
 
Kwa S. Sudan, huyu jamaa ni cheupe dawa kabisa. Niliwaona wadinka kule Brooks, AB, duh!!! yaani mpaka kucha ni nyeusi😛ound:
 
nadhani ni kati ya watu wachache weusi sana duniani......anaweza kuwa mshindi katika GUINESS world book of record..kwa kuwa mweusi

Kwa taarifa yako ni kuwa watu weusi kuliko wote duniani wanapatikana Southern Sudan.
Kama una muda (kwa ajili ya evidence) tafuta kwenye internet.
 
Hivi kwa nini huwa mna attach "thumbnail" badala ya picha kamili? namna hii:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…