Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,925
- 95,582
Jumatatu yuko hoi bin taabani kwa sababu weekend alikuwa kwenye hiyo chupa kalowa tepetepe!kwahiyo kwakuwa w.end imekaribia ndio kapata nguvu, ila j3 yuko hoi bin taaban!!
Jumatatu yuko hoi bin taabani kwa sababu weekend alikuwa kwenye hiyo chupa kalowa tepetepe!
ila hata kama wewe siyo mnywaji ni vema ukawa unapata mbili tatu siku moja moja kwani pia huwa zinanogesha yale mambo ya kitandani usiku!ulevi noma, heko kwa walevi wote maana kila mwaka kodi inapanda ila hawakati tamaa, ni walipa kodi waaminifu kweli
ila hata kama wewe siyo mnywaji ni vema ukawa unapata mbili tatu siku moja moja kwani pia huwa zinanogesha yale mambo ya kitandani usiku!
ila mdada akinywa huwa anapendeza sana, huwa napenda wanavyorembua macho!ooooh so ndivyo unavyofanya eti!! hapana aisee pombe ni big nooo!! kunyweni tu nyie wenye wito nayo.
hahaaahaJumatatu yuko hoi bin taabani kwa sababu weekend alikuwa kwenye hiyo chupa kalowa tepetepe!