Ushauri: Mama mdogo anamsema vibaya mchumba wangu kumbe anajihusisha naye kimapenzi!

huu sasa umekuau ukumbi wa stori za kutunga. Nami nna yangu. Jana nimeota nimelala na mlinzi mmoja wa gadafi, alikuja kujificha tz baada ya kukimbia libya. Je nimwambie waifu, au ataona wivu? Nishaurini

mwambie wife....l.o.l :wink2:
 
I support you Michelle, yaani unakaa unapoteza muda hapa kumpa ushauri mtu wakati unajua ni upuuzi tu... lazima kutilia maanani hivi vitu.. manake watu wanapost uongo halafu mnajaza server kuchangia kumbe ni udwanzi tu...

acha tu....Jf shule,kuna wengine story zao hadi unalia....wengine wanakufanya uogope mahusiano....kumbe watu wanatunga.....kazi kweli kweli....!!!!
 
Yaani huyu dada hajatulia hata kidogo,......na sio rahisi kuamini anachokisema!

Kinachoniuma ni pale alipokuwa anatafuta mpenzi....sasa hao wakaka wa watu waliomtafuta? kumbe mwenyewe hajielewi wala hayuko serious?

Kazi kweli kweli......!!!!
 
na wewe mtafute baba yake mdogo umpe tunda..mtakuwa draw...

All jokes aside, yani wewe umegundua mchumba wako na mama yako mdogo wana mahusiano ya kimapenzi bado unajiuliza ufanye nini? Kweli society yetu iko morally corrupt itisha kikao cha familia zote mbili waeleze kinachoendelea vunja uchumba na chukua hamsini zako.
Hakuna discussion kwenye uchafu waliofanya.
 
Yaani huyu dada hajatulia hata kidogo,......na sio rahisi kuamini anachokisema!
Still bado anarudi na kutetea anachokisema akiona ni sawa i just don't understand what are his intentions akitoka hapo ataanza kulaumu wanaume wabaya
 
Kinachoniuma ni pale alipokuwa anatafuta mpenzi....sasa hao wakaka wa watu waliomtafuta? kumbe mwenyewe hajielewi wala hayuko serious?

Kazi kweli kweli......!!!!

Kama ni kweli anachosema, basi anahitaji msaada zaidi....psychological counselling!
 
Hivi ni wewe au nimesahau kuwa wiki iliyopita ulikuwa hapa unatafuta mpenzi wa muda( wa mkataba)? leo huyu unaye miaka miwili?

ulikuwa unatafuta mwingine wa nini?

Hajui kuwa kuna watu wananukuu kila kipengele humu. So naye huyu hajatulia ndo maana akawa anatafuta wa ku do naye!
 
Yaani babu angepata mshauri angekuwa millionaire sasa....!!! Angempata dk. Ndodi.....mambo yake yangekuwa mbali sasa!!!
Aahaaa ahaaa Keren usinichekeshe banaa yaani BABU LOLIONDO angekuwa mbele mbele CNN, CNBC wangeishamfanyia live coverage l.o.l
 
Fanya kimoja kati ya hivi:
1. Muache huyo mchumba wako aendelee kula uroda na mama yako mdogo, wee tafuta mume mwengine kwani hapo hapakufai. Huyo mchumba wako anaona ufahari kumzini mama mdogo na inawezekana anajisifia kuwa anakula kuku na mayai yake
2. Dawa ya moto ni moto, kama unaweza nawe tembea bwana au mume wa huyo mama yako mdogo, alafu fanya mpango huyo mama yako mdogo ajue kuwa nawe unatembea na bwana/mme wake. Akikasirika unaweka mambo yote hadharan.
 
Back
Top Bottom