Mmmhh...hubby kaninunia kisa..?

Hahahahaha lol!!!! Mambo ya uchonganishi umeyaanza lini Babu Dark City!? Si aulizaye ataka kujua banaa? Sijatenda baya lolote lol!!!!

Aaaaaaa O.K. sasa nimeelewa mwanzo nilikuwa sijaelewa looh, wacha niache wakubwa waongee maongezi yao mimi simoo na kwa kuwa nishaelewa basi pm siendi tena.
 
Zinafanana sana na za nanihii 🙂🙂 ndiyo maana nikauliza lol!!!! Si unajua hizi avatar bana noma sana!!! Kuna mtu hapa anatumia avatar ya bwana mdogo wangu karibu nimuulize 'ni wewe' lakini nikaamua kupotezea lakini hizi nimeshindwa kabisa kuzipotezea 🙂🙂

hehehehee naomba nikujibu kule pm, hapa naweza zua balaa
 
Hizi lips ni lipi za kiukweeee za sakapal?

….umeona eeee!? hahaha,…mimi nili zoom nikaziangaliaaaa,…
yaani #MchaggaWaTanga angekuwepo leo, ningeshtukizia konzi la uchogo!


hehehehee naomba nikujibu kule pm, hapa naweza zua balaa

….bora aisee, heri mie sijaulizia! hehehe….
kaka BAK naomba kukuambia kulee gengeni
kwa King'asti nimekuta kunauzwa Bastola...

Jihadhari na #dada za watu!
 
Last edited by a moderator:

Hivi unajua mie ni teja mwenzio au umesahau??? heheheheeeee
Sasa hamie pm kuanzia hapo maana naona unataka kumwaga mtama na uwele hapa na watu wako kodooo wanasubiria loooh teja tafwadhali we kahakiki kule pm ukweli wa avatar unazozifananisha loohh
 
Lips kumbe nazo ni dili eeh? Assets hizi tunavundika tu, ngoja nianze biashara.
ile bisto hiuzwi tena, manake naona wote mwaitaka, ntauza nini sasa mkishaichukua. Sasa inakodishwa, bei inategemea na hasira za mteja, kiasi alichowekeza kwa mwenza pamoja na kabila. Wanawake kwa wanaume wanakaribishwa (angalia swahiba inaweza kukuhusu hii kama ushavunja nyoyo za watu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
LOL!!! Chezeya wivu wa #mchagga wa Tanga si ajabu hata ungenuniwa wiki nzima kama angeona jinsi ulivyokuwa unazikagua 🙂🙂...mhhhh!!!! Mie na #bastola au bunduki ya aina yoyote hakuna urafiki huwa wanasahau wenye nazo kwamba kuna #shaba kwenye chemba basi wanakosea mara mtu kishadedishwa.




 
…..#Komandoo King'asti nawe si nakuona na lips zako hapo, full ma #attitude!
yaani hata shem ndio anakununia sababu wazee wanakula matunda ya ndoa, akikuangalia
inabidi awe mpolee tu!


Lips kumbe nazo ni dili eeh? Assets hizi tunavundika tu, ngoja nianze biashara.
 
Last edited by a moderator:
Uzuri najua kum-undo mnuno. Nikikoki binduki tu anakuwa mpoleee. Hehehe lips hazionekani kwa sababu ya chin strap
…..#Komandoo King'asti nawe si nakuona na lips zako hapo, full ma #attitude!
yaani hata shem ndio anakununia sababu wazee wanakula matunda ya ndoa, akikuangalia
inabidi awe mpolee tu!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
Hilo la uteja nalijua sana na kama sikosei ni mie ndiye nilimuomba Arushaone afanye update kwenye catalogue yake kwa kuongeza jina lako.

Hivi unajua mie ni teja mwenzio au umesahau??? heheheheeeee
Sasa hamie pm kuanzia hapo maana naona unataka kumwaga mtama na uwele hapa na watu wako kodooo wanasubiria loooh teja tafwadhali we kahakiki kule pm ukweli wa avatar unazozifananisha loohh
 
Last edited by a moderator:
hehehehee naomba nikujibu kule pm, hapa naweza zua balaa

Hahahahahahaha,

Nimejaribu kutafuta ama video au audio ya Tancut Almasi Sound .....Safari ya Zimbabwe nimeukosa....May be BAK atanisaidia kidogo...lol!!

Anyway, ....naona kama vile ka msemo ka wanywaji wa Safari Lager kanatokezea vile.....lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:


Ahsante kwa taarifa mdogo wangu....

Tusamehe wenzio...naona baada ya kustaafu kila kitu kimesinyaa..lol!!

Babu DC!!
 
Hizi lips ni lipi za kiukweeee za sakapal?

Hahahahaha lol!!!! Mambo ya uchonganishi umeyaanza lini Babu Dark City!? Si aulizaye ataka kujua banaa? Sijatenda baya lolote lol!!!!



…..#Komandoo King'asti nawe si nakuona na lips zako hapo, full ma #attitude!
yaani hata shem ndio anakununia sababu wazee wanakula matunda ya ndoa, akikuangalia
inabidi awe mpolee tu!

Hilo la uteja nalijua sana na kama sikosei ni mie ndiye nilimuomba Arushaone afanye update kwenye catalogue yake kwa kuongeza jina lako.


Mkuu BAK,

Bado msimamo wako ni ule ule kwamba mimi mchonganishi??

Ngoja nimalizie hadithi za wajukuu kwanza.....:smile-big::smile-big::eyeroll1:

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mie sijui Babu Dark City ndiyo maana nikauliza maana sijaona hii kitu toka kwa babu lol!!!

Mkuu BAK,

Bado msimamo wako ni ule ule kwamba mimi mchonganishi??

Ngoja nimalizie hadithi za wajukuu kwanza.....:smile-big::smile-big::eyeroll1:

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Babu mie hapo umeniacha kapa sijakuelewa hata kidogo, wamanisha nini? mbona kuongea kimafumbo? sijaelewa hata moja hapo.
 
Fanya yoote ila sasa ukianza kunispot nikagombwa na paw, ujue tutagombana. Na nikinyanyua bag hapa nahamia kwako babu, na mjukuu anaogopa kulala alone. Utajipanga na bibi!
Mkuu BAK,

Bado msimamo wako ni ule ule kwamba mimi mchonganishi??

Ngoja nimalizie hadithi za wajukuu kwanza.....:smile-big::smile-big::eyeroll1:

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mie sijui Babu Dark City ndiyo maana nikauliza maana sijaona hii kitu toka kwa babu lol!!!


Unajua nini BAK,

Niliwahi kumweleza mkubwa mwenzangu Fixed Point kwamba avatar nyingine zinawanyima watu usingizi, na kwamba ni nina bahati kwa vile nimestaafu akaishia kunishangaa....

Ndiyo maana nilitamani aone ulivyoziona hizo lips na kuzifananisha na za fulani au.....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Fanya yoote ila sasa ukianza kunispot nikagombwa na paw, ujue tutagombana. Na nikinyanyua bag hapa nahamia kwako babu, na mjukuu anaogopa kulala alone. Utajipanga na bibi!

Ukweli ni kwamba wageni wa hivyo hatuwahitaji (Mimi na Bibi)....

Sasa wewe nambie nifanyeje??

babu DC!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…