Mmmhh...hubby kaninunia kisa..?

Hapo kwenye bold, utakuwa unatafuta ugomvi mkubwa sasa

Hahahaaa basi sitatia nno lolote ntanyamaza kimyaa hadi mnuno uishe wenyewe maana nashindwa hata kustorisha habari zetu zile aaahhh
 
He KIKUNGU must be very naughty. Mie aliniambiaga tukavute weed nikiwa nimevaa khanga moko. Lols
 
Last edited by a moderator:
,..mmeo b.w.e.ge,..na ukikaa vibaya utamegwa.
 
We binti ndio nini kuja kutulipua huku JF na ukongwe wetu wote huu...

Haya ngoja tuondoke nyumbani kwenu turudi ushagoo naona vijana wa siku hizi mmekosa adabu, mnasimulia namna wazazi wenu wanavyongonoka hadharani bila hata aibu
 
Huyo mumeo anahitaji kurudi class,

Dawa ya moto ni moto....alitakiwa naye adunde mzigo ili kuprove kwamba ujana ni asset nzito...

Kulia lia inaweza kuwa ishara kwamba he is threatened by dady...lol!!

Babu DC!!
 
Kuna kitu hy jamaa yako hajakielewa hapo wazee wamebadilisha mazingira kwa hy wanakumbukia honey moon yao enzi hizooo hahahaaaaa nakusaidia kumcheka!!!
 
hahahaaaaa ashakum matusi babu nitamuunganisha na weye umpe darasa alilolikosa hata kuninunia
Ila mbona ananipelekesha migulu baja kila baada ya shuhuli, yaani nakuwa kama nasimama dede.............. mie nimemvulia kofia ukorofi wangu tuu ndo ulinifanya niondoke kwenda kwa Obama ila ananiperekesha puta au ndo kusema ntakuwa napelekewa moto hadi nikizeeka kama wakwe hahahahaaaaa
 
Kuna kitu hy jamaa yako hajakielewa hapo wazee wamebadilisha mazingira kwa hy wanakumbukia honey moon yao enzi hizooo hahahaaaaa nakusaidia kumcheka!!!

Lakini pia hawa wenyeji nao walikosa adabu....

Kwa nini wakatize kwenye viwanja vya wenzio mida mibaya ambayo most likely watu wanaweza kuwa wanafanya tizi??

Babu DC!!
 
We binti ndio nini kuja kutulipua huku JF na ukongwe wetu wote huu...

Haya ngoja tuondoke nyumbani kwenu turudi ushagoo naona vijana wa siku hizi mmekosa adabu, mnasimulia namna wazazi wenu wanavyongonoka hadharani bila hata aibu

heee!!kwani we ndo mkwe wangu??? uko na jf loooh ntatoka nduki mambo haya siku utembeayo uchi ndo ukutanayo na mkweo, sijasimulia kwa starhe ila kujiuliza kwa nini mwenzangu aninunie kwa sababu hiyo?
Maaana ningesema nimenuniwa bila kutaja sababu ujue mngeniuliza kwa nini kakununia, na mie niko humu hadi saa hizi namtia mawivu ili genye zimpande aache kununa na anipelekeee moto nikiamka asubuhi migulu baja looh
 
Theory ya somo fulani ni muhimu kama ambavyo practicals nazo ni muhimu pia....

Ndiyo maana kuna watu ni mafundi wazuri wa magari ambayo hata hawajui A, B, C ya jinsi yalivyoundwa....

Ila ukiweza kuwa mbunifu na mtengenezaji wa kitu basi hiyo combination ni supper....

Hata hivyo mshukuru Mungu kwani mshikaji wako ana kile ambacho wengi hukikosa na hawawezi kukipata darasani au kwa jirani....hayo mengine (theory) tunaweza kumpiga shule akafikia viwango na kutisha kama C. Ronaldo au L. Messi!!

Babu DC!!
 
Lakini pia hawa wenyeji nao walikosa adabu....

Kwa nini wakatize kwenye viwanja vya wenzio mida mibay ambao most likely watu wanaweza kuwa wanadanya tizi??

Babu DC!!
Babu hatujafanya tabia mbaya ni ramani ya nyumba imetulazimu kupita hapo kuelekea chumbani kwetu. Pia hatukuwa na wasiwasi wa kuwahi kulala maana tuko kwetu na hatukujua kama watacheza mechi ya ugenini hahahaaaa
 
Maneno yako ndiyo ushahidi wa kutosha kwamba kweli bado saaaana....

Ngoja niwaite wadau wenzangu wa 1947 wacheke kidogo.....
Fixed Point, Kongosho, Kaizer, Asprin, Blaki Womani...

Wewe umewapa wageni wa jinsia tofauti room halafu unapita pita kwenye anga zao??

Tena ukae kimya kwani wakijua ndo mwanzo wa kumiminiwa laana....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Saa ingine nashindwa kuwaelewa wanaume kabisa sjui ni wivuu au alitaka nilie badala ya kuchekaa.............. puzzled!!:A S confused:

he he..hapo ni kama wako 'vakesheni'...ni tamu aje sasa!!
 
Asante Babu naona kakusikia huku, kanivuta kiuno wacha nikashikamane naona mnuno utaishia leo waswahili wanasema ukishikwa shikamana, abeeee nakujaaaaaa
 
.......mnh?! I bet hao wazee wamewafanyia makusudi next day mkalale mapema, in other words..... Wame fake sauti tu!
 
Asante Babu naona kakusikia huku, kanivuta kiuno wacha nikashikamane naona mnuno utaishia leo waswahili wanasema ukishikwa shikamana, abeeee nakujaaaaaa

Unafurahisha sana wewe sakapal.....

Dinner njema......

Ila usije hapa kutoa mshindo nyuma (feedback)...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

duuuhhhh!!!!:tape::tape: naogopa laana aiseee
 
.......mnh?! I bet hao wazee wamewafanyia makusudi next day mkalale mapema, in other words..... Wame fake sauti tu!

Hilo linawezekana kabisa.....

Kwani sisi wa 1947 tunajua kuwa wakiwepo wazazi lazima watoto wakimbie kwa room zao wakalale...

Hawa walijifanya matoto tundu...

Wakome....lol!!

Babu DC!!
 
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…