Mkuu ni mapito tu, iko siku yake na yeye..Sijui tunaipeleka wapi nchi yetu hii.
Sikuwahi kuwaza kama taifa tutakuja kufika huku.
Hasa na watotoMmmmmmmmmmmh
Miti yenye matunda daima upigwa mawe
Mkuu ni mapito tu, iko siku yake na yeye..
Dunia ni pana sana,
Wale ambao hamkumuelewa Zito Kabwe ndiyo muelewe sasa.Sijui tunaipeleka wapi nchi yetu hii.
Sikuwahi kuwaza kama taifa tutakuja kufika huku.