Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Ni moja ya magezeti ambayo fungu la kuyaendesha linatoka pale posta, msiba akiact kama mmiliki, lipo hilo, TANZANITE, fahari tz nk.Hilo gazeti limeanza mwaka gani mbona ndio naliona leo?
Ni moja ya magezeti ambayo fungu la kuyaendesha linatoka pale posta, msiba akiact kama mmiliki, lipo hilo, TANZANITE, fahari tz nk.Hilo gazeti limeanza mwaka gani mbona ndio naliona leo?
mtoni ndio kwake ulitaka akimbilie wapi
Wanaitafuta JF na wamiliki kwa kila mbinu.
Mtani mamboDuuh!
mtoni ndio kwake ulitaka akimbilie wapi
acha uzwazwaMvua na mtoni wapi kwenye maji mengi?
Ni moja ya magezeti ambayo fungu la kuyaendesha linatoka pale posta, msiba akiact kama mmiliki, lipo hilo, TANZANITE, fahari tz nk.
Aiseeee
Hahahaaa. Hapa nimekosa la kuandika Mtani sababu ukiwaza kushoto na kulia unabaki kushangaa tu kwani mwisho wa siku ukweli ama uongo wanabaki nao wenyewe.Vipi mtani
Nasubiria busara zako
Mkuu wa wambea mambo?
Haya yote fedha ya kuyaendesha inatoka posta kwa msemaji mkubwa mkubwa.Hivi Gazeti la Jamvi la Habari halina undugu na magazeti hayo pia
Melo mbona anachafuliwa sana safari hii
Gazeti la kufungia vitumbuaHilo gazeti limeanza mwaka gani mbona ndio naliona leo?