Mmmh!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
20170321_122908.jpg
 
Hii nchi kweli ina asilimia kubwa ya vichaa, yaani kilichofanywa na mkuu watu wanaona sawa na kusema limetushuka? Hii sio kawaida.
 
Toka mwanzo WaTz walikuwa wanatumia nguvu nyingi kumlaani mbebwaji wakati kila alichokuwa anafanya alikuwa katumwa na mbebaji. Hivi kuna asiyejua nchi hii ni nani anapenda zaidi matumizi ya bunduki? Yaani matumizi ya nguvu
 
Back
Top Bottom