Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Habari wanajamii forum,hope ni wazima
Leo nataka niwahamasishe wanaume wenzangu tutafute pesa maana kuna ndoa nimeishuhudia hapana kwa kweli.Yaani binti kaolewa na babu yake sio baba ila sema huyo babu ana pesa sana sasa binti naye anajinadi kwa watu kwamba wanapendana sana na huyo babu,lakini mimi hapana haijaniingia akilini kabisa,yaani mdada mzuri unaolewa na mtu karibu na baba yake hivi hata story mnapigaje yaani huoni aibu hata kupiga stori romantic na mtu kama mzazi wako.......Hapana jamani hata kama mapenzi hayachagui umri,lakini mapenzi matamu ni ya kwa vijana kwa vijana
Haya wanaume wenzangu tukomae maana hawa watoto wazuri kila siku wanachukuliwa na wenye fedha zao,na nyie vibabu acheni mambo yenu ya kuwalaghai watoto wazuri kwa pesa zenu mnajua hampendwi wanazipenda hizo pesa zenu tu????
Wasaalamu

)