Kitu kimoja ambacho Watanzania wengi hawajui ni kwamba Mohamed Gire hajatoa rushwa na kama angetoa rushwa yeyote angekuwa jela sasa huku Marekani. Marekani wanafuatailia pesa sana inavyozunguka kwenye bank na rushwa ni kosa kubwa sana hasa kwa wewekezaji na wawekezaji wanajua hilo. Kwenye balozi kuna maafisa wanaofanya kazi na bank na kuna mpaka spy kwenye balozi za kimarekani.
Hii case wameshachunguza vizuri na mmiliki wa Richmondo Mohamed Gire hajatoa rushwa. Gire vilevile ana tenda kwenye City ya Houston, TX ya kusambaza matangazo mbalimbali kwa kutumia kampuni yake ya Richmond Printing. Kilichotokea Tanzania ni kwamba Gire alihakikishiwa kazi na Rostam lakini Rostam hakutaka kutoa pesa yeye alipanga kufaidika na kutoa pesa ya uendeshaji siyo ya vifaa.
Gire hakuweza kupata hizo pesa za vifaa popote hata CRDB na kufanya watu waanze kuchunguza kampuni. Lowassa amekuja kwenye picha kwasababu Rostam alikuwa na uhusiano wa karibu lakini pesa Gire alikuwa bado hajapata na yeye binafsi hakutoa hongo. Vilevile Sitta na Sumay walikutana na Gire kabla ya Lowassa wakati Sumay alivyokuja Houston kumuangalia mtoto wake miaka ya mwanzo ya 2000's alikuja na Sitta wakati huo alikiwa kiongozi wa Tanzania Investment Center.
Gire aliomba kukutana na Sitta na Sumaye hivyo ni kitu cha ajabu Sitta akijifanya kama vile hafahamu mmiliki wa Richmond wakati sisi tulikuwepo wakati wakikutana baada ya mkutano wa jumuia.
Hivyo hii issue kuna mengi ya siri kwa Sumaye na Sitta walikutana na Gire kabla hata Lowassa hajawa waziri mkuu..