Wadau leo niko Dar nikitokea mkoani, lakini wakati nikiwa nabadilisha stations ili nipate mawili matatu yanayoendelea kutokea uchini nimekutana na hii station mpya ya Radio ambayo mimi ndio nimeisikia leo inaitwa UFM inayopatikana kwenye masafa ya 107.3 nahitaji kujua kuwa ni yanani?Mmiliki wake niwawapi?na iko wapi hapa Dar?
Hizi Radio zinazofunguliwa wakati huu hazina uhusiano wowote na Uchaguzi Mkuu 2015? Namba kuwasilisha.