Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

"Akaniambia nikiendelea ....atavichoma moto kabisa viatu vyangu" mna bifu kwa hii statement avichukue abaki kukutishia kuvichoma? kusanya hayo majibu ya polisi, na yeye uendenkwa RPC kusanya majibubyake(record) nenda kwa mkuu wa mkoa mueleze(rexord) kisha mtafute mkuu wa kaya ukishindwa.
 
Usiwe mwepesi wa kufanya hitimisho. Hiyo ndio hali halisi. Jamaa hashikiki, hata polisi wa tarime na Rorya wanamtambua, ni untouchable. Ameshaumiza wengi, hata mie nina kaka zangu ambao wamewahi kuumizwa naye. Hakamatiki yule jamaa. Mtu pekee aliyewahi kumtikisa huyu jamaa ni Mrema miaka ya tisini, lakini baada ya hapo wote wanamlamba miguu
Mkuu kwa Mrema umenifurahisha
 
Ulikuwa umelipia nauli kila kitu, isije ikawa kuna kitu unaficha, je Alishawahi kupiga marufuku ubebaji wa viatu kwa mabasi yake huenda na nyie mnafanya magendo kwa kumtoa kidogo konda?
 
Pole inasikitisha haswa polisi wa awamu hii kuendelea kama vile hatuna mapya, kumbe walafi watupu wanakula nae.


Ulipotoka hapo lazima walimwambia awagawie sharenyao ya mzigo wako

Mola atakusimamia, pole sana.
 
Nahisi kuna kitu hutaki kuweka wazi ebu funguka nimuagize mtu urudishiwe mzigo wako
Hata mimi nina shaka mkuu, hapo kuna kitu hakijakaa sawa, ila kama ipo ivyo haki ya mnyonge haipotei na malipo yake ni hapahapa duniani.
 
Haiwezekani aje tu bila sababu achukue mzigo wako yeye ni kichaa? Hebu tueleze una ugomvi gani nae? Anakudai?
Haya.mie nina.mawazo hayo hayo. Kuna jambo ambalo mtoa.mada analificha ndio maana anazungumzia kuomba kusaidiwa. Kuna jambo zaidi ya hilo.
Mie naadhani ni hili. Hayo mabasi yanatumika kusafirisha mizigo ya wateja ambao hawakulipia kodi mpakani. Mizigo kutoka Kenya. Kinachofanyika ni kuwa mteja akinunua mzigo Kenya, akauvusha kwa magendo anakabidhi mzigo huo kwa mabasi ya Zakaria ili usafirishwe kwenda mwanza. Kutokana na influence ya mabasi hayo huwa hayakaguliwi sana au hayakaguliwi kabisa. Mzigo ukifika Mwanza malipo yanafanyika mtu anachukua mzigo wake.
Kwa hiyo inawezekana kabisa mtoa mada hakuwa amelipia mzigo na hakumlipa Zakaria malipo kamilifu.
Ndio maana tunaona.mtoa mada anazungumzia kuomba kuomba kuomba. Ataendaje polisi kuripoti mzigo usiolopiwa kodi?
 
police kama wamesema hawamuwezi ujue ushapewa go ahead kabla hajakumaliza mmalize yeye

over

JF great thinkers? hivi suala hili ni la kupelekwa kwa Waziri? halafu tunashinda mitandaoni kuwa hawawajibiki,au Rais anaingilia kila mhimili wa dola.Je amemfuata hata wakili mmoja tu akaomba ushauri wa kisheria?

Je kafungua jalada polisi? au hata kufungua jalada wamemkatalia? Je huyu tajiri huwa anakagua kila kitu kilichobebwa na gari yake? Tiketi ya mzigo ulionyang'anywa anayo? aiweke mtandaoni kama alivyoiweka habari ya kuporwa kwake miongoni mwa wana JF wapo wanasheria mahiri wanaweza kumpa ushauri,ajue cha kufaanya.
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Hugo Zakaria ninani ambaye hasikii vyombo vya dola wala viongozi wa ke kiroho?ninaimani kuwa hapa kuna viongozi wengi was seriksli na watalichukulia hatua.
 
zakaria ni moja ya majambazi matano yanayotesa kanda ya ziwa,na inasemekana limeinunua serikali yote ya maeneo hayo ya kanda ya ziwa,anaheshimiwa kuliko hata mungu yule
Mkuu, ebu wataje na hao wengine wanne walobakia
 
Back
Top Bottom