Mmiliki wa mabasi ya Super Sami atoweka, gari lake lachomwa moto Serengeti

Tuache mizaha Katika maswala ya msingi.

Ipo siku mambo yakiharibika kweli tutakosa wa kumweleza na kutusikia
 
jamaa ina maana amekufa kifo kip?kuungua na gari au kupigwa panga?au mwili wake haujapatikana kabisa?!
 
Alikua kwenye mkakati wa kumsepesha twiga au niaje..?

Una kichwa kigumu sana cha kuelewa mkuu, unaambiwa alipotea nyumbani mwake takribani wiki moja na nusu, jana ndo mwili umepatikana huko mara, sasa siku zote ndo awe mbugani?
 
Mauaji ya msuya yana zaidi ya miaka 4...ila awamu hii kuna mauaji mengi ya ajabuajabu mara maiti kwenye viroba,kupigwa risasi tl halafu police mpka leo hawana jibu la hayo matukio
Na pia mauaji ya Msuya afadhali tunaona watuhumiwa wanapindishwa kizimbani ikiashiria kuwa awamu Ile ilikuwa inafanyakazi..........lkn toka mwanzo wa awamu hii vifo vimeongezeka maradufu na bila kuona hata mmoja alievishwa utuhumiwa japo wa kisingiziwa kupandishwa kizimbani,hii ndo pale tunapoihusisha awamu hii na ongezeko la vifo vitokeavyo na ndo pia tunashaur waziri wa ulinzi awajibike na sio kuwajibika kwa kuvaa skafu tuu Na kupanga kuwadhibiti mahasimu wao kisiasa na kimaslahi
...............Nchi ni yetu sote
 
Kila jambo lina mwisho mauaji,visasi,matisho,matamko bdo uchumi unayumba tu...hii awamu ya wazee wa phd,maprof ambao wamejitoa akili kumtumikia bwana mkubwa
 
Hivi huyu jamaa si ndio walikuwa wanamsema ni "muimbisha watu mtaji wa maskini ni nguvu zako mwenyewe"...!!!humu jf katajwa sana yeye na mali zake,tena kwa sifa uchwara na zisizo uchwara.pia katajwa kama kada mtiifu wa rangi za taa zinazoruhusu magari kupita.....wengine wakasema ndio maana anaimbisha watu hovyo coz analindwa na "RANGI MURUA" ya mikunde......!!!?mpaka muda huu nina namba tisa ila kumi siioni...
 
Wamuone msafirishaji wa abiria maarufu kutoka Mwanza-Tarime-Sirari kwa mahojiano zaidi.Remember Tanganyika Bus owner death.
 
duh masikin kafa kifo kigumu!
Hawajakuta mwili hivyo huwezi kusema amekufa ila tunasema haonekani au he is missing but not dead hata Ben Saa 8 au yule mwandishi wa Mwananchi huwezi sema wamekufa ila tunasema wametoweka au hawaonekani So they are still missing. Miili ikionekana ndio hapo huwa tunasema wamekufa au wameuawa au wamefariki au wameaga dunia. Ni hayo tu mkuu
"Gari lake limeteketea kweli lakini hatujabaini mwili kama na yeye alikuwa kwenye gari lile kwa sababu waliofika eneo la tukio hawajakuta mwili au mabaki ya mwili ya aina yeyote ...Kamati ilipopata taarifa kuwa kuna gari limeteketea kule Serengeti, walishirikiana na Jeshi la Polisi kwenda hadi eneo la tukio na kubaini kweli ni gari lake lakini hawajabaini kama alikuwepo mle wakati linachomwa", alisema Mwalongo.
 
Alikutwa akiwa ameunguzwa ndani ya gari au mwili umekutwa pembezoni mwa gari?

Mtu akichomwa basi ni lazima utakuta walau mifuapa, wafanya majaribio wa kuuchoma hata mzoga wa ng'ombe ndani ya gari bovu tuone kama hakuna mabaki ya aina yoyote yatakayopatikana, huyu atakuwa katekwa, si bure! Nna je walicheki chasis/engine namba kujua kwamba gari ni lake? Au wamejuaje?
 
Back
Top Bottom