falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Nimeota wewe ni mmoja kati ya watu wenye uwezo mkubwa kumsaidia magufuli na watanzania kwa ujumla kuwafanya wawe na amani juu ya upatikanaji wa sukari
Sasa hii ndoto ni ndefu kidogo halafu siku hizi sheria za siku hizi mtu usipoota basi utaulizwa ushahidi na mambo kibao
Ila hadi jumatatu ndoto itakuwaa imekamilika
Eti ndoto imenigusia juu ya siri kwanini ile bus ya kwanza yutong ndefu f16 kwa nyuma uliiandika "masukari"
Jamani ni ndoto tu ila leo nikilala nitaendelea kuota