Huwek namba wakat unafungua email
Mbona wamiliki wa TWITER hawakamatwagi. Vipi liveleak.com...Kwa mujibu wa sheria kandamiizi ya makosa ya kimtandao.....polisi wa kitengo cha cyber crime....wana haki ya kupewa taarifa na mmiliki wa mtandao pale zitakapokuwa zinahitajika......
Kutokutoa ushirikiano kwa polisi wa kitengo hicho ni kosa kisheria.......
Kama Bwana Mello ambaye ni mmiliki wa Jf aligoma kutoa taarifa kwa kitengo hicho basi amevunja sheria....
Haya ni matokeo ya nidhamu ya uoga wa waTanzania......
Tungetakiwa tusimame kidete kama taifa tangu ule mswada wa hiyo sheria kandamizi haujasainiwa.......lakini sasa hivi ni too late........tunavuna matokeo ya ujinga wetu...na uoga wetu.....
Who is next....!!??
FREEDOM IS NOT FREE.....
Kwa mujibu wa sheria kandamiizi ya makosa ya kimtandao.....polisi wa kitengo cha cyber crime....wana haki ya kupewa taarifa na mmiliki wa mtandao pale zitakapokuwa zinahitajika......
Kutokutoa ushirikiano kwa polisi wa kitengo hicho ni kosa kisheria.......
Kama Bwana Mello ambaye ni mmiliki wa Jf aligoma kutoa taarifa kwa kitengo hicho basi amevunja sheria....
Haya ni matokeo ya nidhamu ya uoga wa waTanzania......
Tungetakiwa tusimame kidete kama taifa tangu ule mswada wa hiyo sheria kandamizi haujasainiwa.......lakini sasa hivi ni too late........tunavuna matokeo ya ujinga wetu...na uoga wetu.....
Who is next....!!??
FREEDOM IS NOT FREE.....
Nakubaliana na ww 100% huu ndio ukwel japo bado naona police wana uwezo wa kuwapata wanaowatafuta kwa njia nyingine na si kumtumia Mello ambaye hana uwezo. Na pia kufungia jf haitasaidia chochote maana I aweza kufunguliwa forum nyingine popote dunian na taarifa zikaendelea kuwekwa tu.Kwa mujibu wa staff member wa JF ni kwamba, tekinolojia waliyoitumia ni vigumu hata wao JF kupata Siri za member wao, Kwa mfano mtu akijisajiri Kwa jina la "Maembe " huwezi ku track na kumjua, labda yeye ndo atoe details zake mwenyewe.
Police walijaribu Sana kupata information zetu Kwa tekinolojia yao wakashindwa ndo wakaamua ni bora wamkamate Melo ili awasaidie kutupata, bahati mbaya Sana ni kwamba na yeye hawezi kutokana na tekinolojia iliyotumika hairuhusu mtu kutambuliwa, labda waifungie tu JF Kwa nguvu.
Nimeukosa tu uzi wa staff member aliouweka ili kututoa wasiwasi.
Mbona wamiliki wa TWITER hawakamatwagi. Vipi liveleak.com...