J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,503
Sakata la kukamatwa kwa mmiliki na mwanzilishi wa JamiiForums limenipa maswali mengi sana lakini moja kubwa ni hili.
Mteja amefungua email yenye majina yasiyo yake, amekuja amejisajili jf kwa email hiyo na wakati anasajili line ya simu alitumia kitambuliaho fake na katika sim yake hawasilian na MTU yeyote wala hajajisajili kwenye mtandao wa kijamii mwingine.
Je, Melo atapata wapi taarifa zake awape polisi? Na mbona Kuna uwezekano mkubwa wa polisi wao wenyewe kuweza kumpata mteja kwa njia ya kusearch location kuliko wamiliki wa JF? Naomba wataalamu wanifafanulie.
NB: Nataka tu kujua jambo hili halinihusu mm binafs maana taarifa zangu hapa JF zipo wazi sina cha kuficha Ila nataka kujua.