Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,206
- 33,223
email si unafungulia intanent cafe,kwamfano zamani ilikua huezi kujisajili jf kwa simu mpaka uwe na email.Email umefungua baada ya kuweka namba ya simu. Process ndefu
Sema labda kwenye simucard kama utasajili fake nani ngumu mno kwasasa kusajili line kwa jina bandia