Mmiliki wa Airtel Huyu Hapa "Mohammed "Mo" Ibrahim"

Mmiliki wa Airtel Huyu Hapa "Mohammed "Mo" Ibrahim"

Mo hawezi kuibia uchwala waƙati ƴeƴe anacheza na kuwapa tuzo
Huyu ndio
Kitu alishakiuza how came useme ndiye mmiliki?

Huyu jamaa alianzisha company sebureni kwake baada ya kufukuzwa kazi.Wakati anakuja Tanzania alikwa hana hata uwezo wa kurent office. Niliwahi kusikia interview yake miaka ya nyuma kabisa ni jinsi gani alipata kuwa tajiri mkubwa.
 
Huyo ni wa Celtel na sio Airtel

Huyu jamaa alianzisha company sebureni kwake baada ya kufukuzwa kazi.Wakati anakuja Tanzania alikwa hana hata uwezo wa kurent office. Niliwahi kusikia interview yake miaka ya nyuma kabisa ni jinsi gani alipata kuwa tajiri mkubwa.
 
Kumbe matajiri wengi ni wezi.
View attachment 656073

Huyu jamaa alianzisha company sebureni kwake baada ya kufukuzwa kazi.Wakati anakuja Tanzania alikwa hana hata uwezo wa kurent office. Niliwahi kusikia interview yake miaka ya nyuma kabisa ni jinsi gani alipata kuwa tajiri mkubwa.

Mohammed "Mo" Ibrahim (Arabic: محمد إبراهيم‎; born 3 May 1946) is a Sudanese-British billionaire businessman. He worked for several telecommunications companies, before founding Celtel, which when sold had over 24 million mobile phone subscribers in 14 African countries. After selling Celtel in 2005 for $3.4 billion, he set up the Mo Ibrahim Foundation to encourage better governance in Africa, as well as creating the Mo Ibrahim Index, to evaluate nations' performance. He is also a member of the Africa regional advisory board of London Business School.

In 2007 he initiated the Mo Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership, which awards a $5 million initial payment, and a $200,000 annual payment for life to African heads of state who deliver security, health, education and economic development to their constituents and democratically transfer power to their successors. Ibrahim has pledged to give at least half of his wealth to charity by joining The Giving Pledge.

According to the Forbes 2011 Billionaire List,[2] Mo Ibrahim is worth $1.8 billion, making him the 692nd richest person in the world. Mo Ibrahim was also selected for the TIME "Top 100" list in 2008.
Acha kupotosha wewe. Nyambaaf! Wätu kama wewe mnatakiwa mkamatwe mfungwe na Sheria ya Matumizi ya Mitandao kwa uwongo na upotoshaji. Halafu "sebureni" ndiyo nini? Bora uandike Kisukuma.
 
Mkapa baada Ya kumpa bure akafikiri atazawadiwa tuzo, lakini hadi leo kanoa.
 
Nomba kufahamishwa uizi wake mleta uzi.. Kamuibia nani?
 
Back
Top Bottom