Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
MO hawezi kufanya wizi wa hivyo, hii ni michezo ya AG wa madeal
Ndio maana sisi waswahili hatutaweza kujitoa umaskini wetu. Ukijinyima ukafuga kuku, siku utapofanikiwa utakuwa adui kwa wanaojiita wazalendoPesa za magumashi ni wizi
Yeye alikuwa mmiliki mwanzilishi wa Celtel ambayo ndo Airtel na hapo kati ilikuwa Zain,yeye alishaiuza kitambo.
KWELI MKUU HII NDIO SHIDA KUBWA TULIO NAYO WASWAHILINdio maana sisi waswahili hatutaweza kujitoa umaskini wetu. Ukijinyima ukafuga kuku, siku utapofanikiwa utakuwa adui kwa wanaojiita wazalendo
Swali la msingi!Sasa huyu mo aliiuzia serikali au aliuziwa na serikali?
Acha uongo wewe...Dangote hana zaidi ya USD 50 billion....unless currency nyingine ya kwako.Lakini mbona siyo tajiri sana halafu anafanya makubwa? Dangote ana 50 plus billion.
Amekuibia nini? au ndo zidumu fikra za mwenyekitiPesa za magumashi ni wizi
Lakini mbona siyo tajiri sana halafu anafanya makubwa? Dangote ana 50 plus billion.
FuatiliaAcha uongo wewe...Dangote hana zaidi ya USD 50 billion....unless currency nyingine ya kwako.
Nilishakusaidia kutoa tongotongo...Fuatilia
Hapana Mkuu, Mwenye bidhaa za MO ni kampuni ya MeTL, ambayo mmiliki wake ni Mohamed Dewji.ndio mwenye bidhaa za MO nchini?
Hajui, tunasema Dangote anautajili wa $ 12billions. Sio 50 billions amejichanganya hapo.Acha uongo wewe...Dangote hana zaidi ya USD 50 billion....unless currency nyingine ya kwako.