Mmiliki Jambo Plastic awajibishwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmiliki Jambo Plastic awajibishwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamura, May 27, 2011.

 1. K

  Kamura JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama mazingira ya kazi ndiyo hayo, mmiliki wa kiwanda cha Jambo Plastics awajibishwe.
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,711
  Trophy Points: 280
  Nimesikia hii habari kwenye redio
  nikawa najiuliza kwa nini walilazimishwa kuvaa kama manamba?
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  photo?
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Sasa hii si mngeweka kule kwenye ile nyuzi ya mwanzo kuhusu hiki kiwanda.
   
 5. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NI Mchangiaji mzuri sana huyu kwa CCM wakati wa Kampeni so si rahisi serikali ikamwajibisha kirahisi. Ni sawa na Al adawi na Rostam!
   
Loading...